Friday, October 28, 2016

UNAAMBIWA HUYU NDIO MWANAMKE MWENYE ULIMI MREFU DUNIANI

Mwanadada mmoja kutoka Hounston nchini marekani ambaye anajulikana kwa jina la Chanel Tapper ameingizwa kwenye rekod ya Guinnes kwa kuwa mwanamke mwenye ulimi mrefu duniani.

Baada ya kufanyiwa vipimo alikutwa ulimi wake unaurefu wa sm 9.7na kuwashinda wenzake ambao alikuwa anashindana nao.

Kwa upande wake anasema anafurahi na hakuna tatizo lolote analopata.

No comments:

Post a Comment