King kiba mkari kutoka kariakoo jana amekanusha habari ambazo mashabiki wengi walikuwa wamejipanga kuja kumshuudia katika mashindano ya miss tanzania ambayo yanategemea kufanyika kesho jumamosi pale Rockcity Mall.
Lakini jana kupitia ukurasa wa mkali huyo wa AJE Aliandika na kukanusha kuwa hatokuwepo sasa haijajulikana tatizo ninini mpaka mda huu tunaenda hewani.
MKATAVI.BLOGSPOT.COM inasikitishwa kwa hatua hiyo kwa waandaaji maana wanaharibu mfumo mzuri ambao walikuwa wameuandaa Maana tunajiuliza toka siku zote walikuwa wako wapi kumaliza tatizo hilo?mpaka zimebaki siku mbili ALLY KIBA Anakuja kukanusha uwepo wake.Sasa kwa maoni yetu tunaona itachangia kuaribu mpangilio mzuri ambao walikuwa wameuandaa maana wanatakiwa wajue sio kila atakae kuja hapo anakuja kuangalia mamiss wengine wanakuja kumuona Ally kiba,wengine wanakuja kumuona Kristian bella.
Tutafurahi kuona mmesov swala hili kwa ajili ya tamasha hili kubwa ambalo kwa mara ya kwanza linafanyika jijini mwanza.
No comments:
Post a Comment