Thursday, October 27, 2016

UNAAMBIWA HIZI NDO PICHA ZINAZOMUUMIZA SANA WEMA SEPETU.

Aliyekuwaga Miss Tanzania Binti wa mzee Sepetu mwenyewe anapenda kujiita Maadam Sepetu na mkari katka Movis za kibongo inasemekana anajisikia vibaya sana anapoona picha za marafiki zake wakaribu wakiwa na watoto wao.

Tukio hilo limetokea baada ya Rafiki wake wa karibu Aunt Ezekiel alipopost picha kadhaa kali akiwa na binti yake.Mtu wa karibu wa wema alidai kuwa wema huwa anakosa pozi sana anapotizama picha hizo kwasababu anahamu sana yakuwa na mtoto angalau hata mmoja tu..






1 comment: