Tuesday, October 25, 2016
E.FM REDIO WAMPELEKA MAAKAMANI PAUL JAMES KWA KUVUNJA MKATABA KINYEMELA.
Aliyekuwa mtangazaji wa Efm ya jijini Dar Paul james amefunguliwa mashtaka na Redio hiyo baada ya kuvunja mkataba na kurudi tena Redio clauds alipokuwa anatangaza apo awali.
Mtangazaji huyo maarufu sana kwa kuperuz na kudadis magazeti alikuwa mtangazaji wa clauds na kuhama yeye pamoja na mwenzake Gerado Hando lakini mwanzoni mwa mwezi huu yeye aliamua kurudi tena katika redio yake ya awali clauds fm.
Redio EFM Imefungua kesi hiyo katika mahakama ya kazi na kesi hiyo inatarajiwa kusikilizwa November 23 2016,kituo hicho kinadai mtangazaji huyo amevunja mkataba kinyemela na wanamtaka awalipe fidia ya milioni 200.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment