Tuesday, October 25, 2016

GAZETI LA FORBES L AMTEUA RAISI MAGUFURI KUGOMBEA TUZO YA MTU MAARUFU WA AFRICA.

Ikiwa zimebaki wiki kama mbili raisi JPM Afikishe mwaka mmoja tangu aingie madarakani jana jarida linalofanya utafiti kwa watu mbalimbali maarufu duniani limemteua Raisi magufuri kuwania tuzo ya mtu maarufu ya mwaka.Jarida hilo limemtaja JPM Kuwa amefanikiwa kuongeza kiwango cha uchumi cha nchi yake huku akishindana na watu wengine kama Michael Le Roux  ambaye nimuanzilishi wa Captec bank ya south africa bank ambayo imeonesha ni rahisi sana kutumika na wananchi wa africa kusini.


Raisi Magufuri pia anachuana na Raisi mwenzake wa Maurtania Ameenah Gulb.

Mtanzania unaruhusiwa kumpigia kura ya ushindi Raisi JPM BONYEZA Hapa http://poy2016.com/ kumbuka mwisho wa kupiga kura November 172017 na tuzo hizo zitatolewa Nairobi kenya.

No comments:

Post a Comment