Thursday, October 27, 2016

NIKKI MBISHI AMEACHIA NGOMA YAKE MPYA BABU TALENT ISIKILIZE HAPA.

Mkali kutoka Mara Nikki mbishi leo ameachia ngoma yake ambayo alitoa kionjo siku nyingi zilizopita ambapo nyimbo hiyo alikuwa anamuongelea Meneja maarufu hapa bongo babu tale.Sasa leo hii rasmi anakukaribisha kudownlod na kusikiliza nyimbo hii kwa kubonyeza link hiiihttps://www.africanmusicnow.com/home/artistdetail/294

No comments:

Post a Comment