Wakali kutoka 254 nchini kenya weakend iliyopita walitoka kifua mbele baada ya kujinyakulia tuzo kubwa Africa MTVMAMA.Wakali hao walioiwakilisha East Africa baada ya wakali kutoka bongo Diamond,Ally kiba,Navy kenzo,pamoja na Ray van,Uganda iliwakilishwa na Edy kenzo Wenyewe hawakuweza kupata tuzo hizo.
Sasa baada ya kuwasili kwao kenya wakali hao na kupokelewa kwa mbwembwe kubwa na mashabiki wao Wakali hao waliwashukuru kwa kuwapigia kula na kutoa ratiba yao ya Tour kubwa ambayo wanategemea kuifanya nchini marekani.
Sehemu ambazo watapita ni Dallas.ts,Washnton Dc,New york,Raleigh,pamoja na seattre nchini marekani.
No comments:
Post a Comment