Monday, October 24, 2016

TIZAMA PICHA WAREMBO WANAOWANIA MISS TANZANIA WATEMBELEA BUJORA

Warembo wanaowania miss tanzania wapo jijini mwanza kwa ajili ya kinyanganyiro hicho kitakachofanyika jijini hapa siku za karibuni,Warembo hao jana walipata nafasi ya kwenda kutembelea bujora sehemu ya makumbusho na kujifunza vitu mbali mbali tizama picha hizo hapo chini.














No comments:

Post a Comment