Chui mmoja huko nchini india alijikuta akitoroka kwenye hifadhi yake na kukimbia lakini alijikuta akitumbukia kwenye kisima cha maji.Baada ya kutumbukia humo wafanyakazi wa eneo hilo ilibidi kuchukua hatua za kumuokoa chui huyo na walifanikiwa kumtoa chui huyo akiwa mzima ingawa alikuwa amechoka sana.
No comments:
Post a Comment