Wednesday, October 26, 2016

HAWA NDIO WASANII 10 WALIOTAJWA LEO WATAKICHAFUA FIESTA DAR.







Clauds medea leo ndo siku ambayo imeanza kutoa rist ndefu ya wasanii watakao kinukisha kwenye fiesta 2016.Kupitia kipindi cha XXL leo wamewataja wasanii kumi tu na wengine wataendelea kutajwa kesho'

Wakali hao ni FID Q.DOGO JANJA,NANDI,BEN PAUL,ROMA,STAMINA,CHEGE  Pamoja na WEUSI.

No comments:

Post a Comment