Wednesday, October 26, 2016

PICHA.MASOGANGE AWATULIZA WAREMBO WENZAKE NAKUDAI BADO YE NIMREMBO KULIKO


Mwanamitindo au tuseme modo wa video za kibongo Agnes maarufu kama masogange amejitamba kwa kuwaambia wale ambao walikuwa wanadai kachoka na kaishiwa pozi.

Mrembo huyo kwa kudhihilisha kuwa yuko poa zaidi ameachia picha zake mbalimbali zenye kumuonesha urembo wake na mvuto alionao kwa sasa.Enjoy kwa kutazama picha zake hizo.


Kwasasa mwanadada huyo yuko nchini Africa kusini kwa mapumziko.


No comments:

Post a Comment