Baada ya Ally kiba jana kutoa tamko kuwa hatatumbuiza katika mashindano ya Miss Tanzania ambayo yanafanyika kesho kwa mara ya kwanza katika jiji la mwanza Leo uongozi huo umemtaja wanadada mkali anaetamba na ngoma yake Mahaba niuee MAUA SAMA Ndo atakae kava nafasi ya King kiba.
Mashindano hayo yanategemea kufanyika kesho katika ukumbi wa ROCK CITTY MALL .
Tunawapongeza kamati ya miss Tanzania kufanya maamuzi hayo haraka ili kuweka mambo sawa.
No comments:
Post a Comment