Mmiliki wa Sahara Media Group bwana Antony Diaro amekanusha tetesi zilizoenea kuwa Campuni hiyo imeuzwa kwa NATIONAL MEDIA GROUP kwa sababu imeshindwa kulipa madeni inayodaiwa na TRA pamoja na mabenki mbalimbali.
Mkurugenzi huo amedai kuwa hawezi kuuza kampuni hiyo ila anapunguza wafanya kazi zaidi ya mia kwa sababu ya kuamisha matangazo hayo kutoka analojia kwenda digitar ili kupunguza garama za uzalishaji na wataoathirika ni watangazaji waandaaji wa vipindi na wafanyakazi wengine.
Akasisitiza kuwa katika mchakato huo wataangalia vigezo mbalimbali kama Elimu,Nidhamu,pamoja na utendaji na zoezi hilo litachukua takriban miezi mitatu.
Campuni hiyo ya sahara inadaiwa na KCB Bilioni 28,malimbikizo ya mishahara pamoja na TRA Bilioni 4.Bwana diaro alidai kuwa anaaset net value ya zaidi ya bilioni110 na tunamkopo kama kampuni ni benki moja tu ya KCB Na sio benki hizo watu wanazodai na kuuza Medea kubwa kama hii unaitaji kibari kutoka kwa TCRA.
No comments:
Post a Comment