Mfalme wa morroco bwana Mohamedi V yupo nchini tanzania kwa ziara ya siku nne leo hii amekutana na Mwenyeji wake Raisi J Magufuri ikulu.Katika mkutano wao huo walizungumza mambo mengi na kusaini mikataba mbalimbali na baadhi ya mambo waliyoongea ni kujenga msikiti mkubwa ambao utajengwa Dar na kiwanja kikubwa cha mpira kitakachojengwa dodoma.
Raisi magufuri ameyasema hayo na kuthibitisha kuwa Mfalme huyo ameshakubari na zoezi hilo litaanza maramoja.Kiwanja hicho kinategemea kuwa kikubwa zaidi na hichi cha taifa ambacho kinabeba watu wengi zaidi na kitagarimu dola milioni moja.
No comments:
Post a Comment