Sunday, October 30, 2016
DOGO HAMIDU A.K.A NYANDU TOZI AMEUAGA UKAPERA NA KUFUNGA NDOA NA MREMBO HUYU.
Mkali wa michano aliyekuzwa na mkongwe wa mziki kutoka kanda ya ziwa DUDUBAYA Lakini kwa sasa anamiliki kundi lake linalojulikana kama B.O.B Jana ameuaga ukapera na kufunga ndoa na mpenzi wake wa sikunyingi.
Nyandu tozi amefanya ahadi hiyo kimya kimya bila amsha amsha yeyote na alipoulizwa kwanini amefanya ivo akadai kuwa ndoa haiitaji mbwembwe.
Saturday, October 29, 2016
HUYU NDO MISS TANZANIA 2016
Jana kulikuwa na mashindano ya Miss tanzania ambayo kwa mara ya kwanza yalitokea jijini mwanza na mshindi aliyepatikana ni DIANA EDWARD LIKUMAI Kutokea daresalam kinondoni.
MILLARD AYO APEWA TUZO NA TAASISI YA GHF
Mtangazaji wa clods fm na Mmiliki wa AYO MEDIA Bwana millard ayo leo hii amekabidhiwa Tuzo na taasisi ya GREAT HOPE FOUNDATION Kwa kuwa mfano wa kuigwa.
Tuzo hizo zilizopewa jina la onesha uwezo zimetolewa leo na Mgeni mwalikwa JONH OLANGA amesema kuwa mtangazaji huyo amekuwa nimfano wa kuigwa kwa vijana sababu alipambana sana mpaka kufikia mafanikio aliyoyapata leo.
Ameongeza kuwa millard alishawai kufanya kazi bila kulipwa kwa muda mrefu na kukatishwa tamaa na wazazi wake lakini alipambana na leo hii amekuwa mfano wa kuigwa maana amefikia hatua ya kumiliki Media yake na ameajiri vijana zaidi ya kumi.
MKATAVI.BLOGSPOT.COM Tunakupongeza kwa tuzo hiyo na endelea kupambana ili uweze kutupa nasisi changamoto katika tasnia hii,Mungu akubariki sana.+

SISI KAMA MKATAVI.COM TUNATABIRI GLORY STEPHEN NO ATAKAENYAKUA TAJI LA MISS TZ USIKU WA LEO.
Katika shindano lakumtafuta mlimbwende wa tanzania ambalo linafanyika leo,kumekuwa namaneno mengi sana mtaani kuwa nani ataondoka na taji hilo.Kila mtu amekuwa anatabiri anavyoweza sasa nasisi kama waandishi wa blog hii ya mkatavi.blogspot.com tumeamua nasisi tutoe maoni yetu.
Sisi kama waandishi wa mkatavi.blogspot tunatabiri kuwa GLORY STEPHEN Ndo anaenda kuondoka na taji hilo.Je we unamaoni yeyote/?Usisite kutuachia maoni yako hapo chini kumbuka mshindi atakae weza kutabiri mshindi wake atapata Shilingi efu kumi kutoka mkatavi.blogspot.com

TIZAMA WAARABU WALIVYOPAMBA RANGE KWA DHAHABU
Waarabu wa Dubai wamejidhihilisha kuwa wanapesa baada ya kununua range na kuipamba kwa dhahabu gari nzima ebu jionee mwenyewe.
SUGE KNIGHT BADO ANAMTAKA DR DRE AMLIPE ASILIMIA 30 YA MAPATO YAKE.
Suge anadai alikuwa na mkataba wa kusimamia kazi za dr dre na alitakiwa alipwe asilimia zake kwenye mapato ya beats by dre.Suge anadai dre alimlipa jamaa pesa na akatekeleza na suge alipigwa risasi mara saba tumboni lakini suge hakufa.
Polisi walimuhoji mtu ambaye alijulikana kama T money na aliwaeleza wapelelezi kuwa alilipwa na dre pesa ili amuue suge,na suge analalamika kuwa kwenye club hiyo kulikuwa na camera 37 lakini hakuna aliyeshikwa.
Suge amefungua kesi na anamtaka dr dre amlipe asilimia 30 kwenye mauzo ya beats by dre ambayo nisawa na dola milioni 300,na dr dre anamiliki dola bilioni moja.
Friday, October 28, 2016
Subscribe to:
Posts (Atom)