Nchi ye Siera leone imeingia kwenye matatizo makubwa na kuingia kwenye maombelezo baada yakutokea mapolomoko ya udongo baada ya mvua kubwa kunyesha.
Mvua hiyo imenyesha ndani ya siku tatu mfurulizo katika mji mkuu wa nchi hiyo Freetown.Imeelezwa kuwa niwatu takriban 300 wamefariki na watu zaidi ya 600 hawajulikani walipo kabisa.
Serikali ya nchi hiyo imetangaza wiki moja ya maombelezo na bendera itapepea nusu mringoti.
No comments:
Post a Comment