Nchi ya Marekani pamoja na nchi ya Korea ya kusini wameanza kufanya mazoezi yao yakivita ambayo ndo desturi yao yakufanya mazoezi hayo kila mwaka ingawa korea ya kaskazini hupinga vikali sana mazoezi hayo yasifanyike.
Kwa mujibu wa BBC Swahili wanadai kuwa wiki iliyopita Korea kaskazini ililegeza kamba baada ya kutishia kuwa itashambulia kisiwa cha marekani kinachofahamika kama Guan Lakini baadae ikasema itafatilia mienendo ya marekani kwanza.
Korea ya kaskazini imelaani sana mazoezi hayo nakudai kuwa marekani na korea ya kaskazini inafanya kitendo cha kumwagia mafuta kwenye moto ambacho ni cha hatari.Mazoezi hayo hujumuisha Ardhini angani pamoja na baarini,Mazoezi hayo ambayo hufanyika Korea ya kaskazini pia yanajumuisha mafunzo yakukabiliana na ugaidi na kemikali.
Korea kaskazini inatumia wanajeshi 50,000 na marekani wanajeshi 30,000
No comments:
Post a Comment