Club ya Barcelona Imedai kuwa inatengenez mazingira yakumtupa Hahakamani Mshambuliaji wake Neymar kwa kitendo cha kuondoka na kwenda kujiunga na tim ya PSG Ya nchini Ufaransa.
Mchezaji huyo machachari kutoka Brazili alivunja rekodi ya uhamisho kwa E200M Kutoka kwa tim hiyo ya ufaransa mwezi agost baada ya kununua kandarasi katika tim ya barcelona.Barcelona sasa inamtaka mshambuliaji huyo kurudisha malupu lupu aliyolipwa kwani hakumaliza mkataba wake.
Mbali na malupulupu hayo ya yuro milioni 8 pia club hiyo inataka kulipwa asilimia kumi ya pesa hiyo kwa kuchelewa kulipwa.
No comments:
Post a Comment