Saturday, August 19, 2017

BABA YAKE DIAMOND AMSHAURI DIAMOND AWAOE WOTE ZARI NA HAMISA KWANI DINI INAMRUHUSU


Mzee Abdul Nassib Almaarufu kama Baba Diamond Amemtaka mtoto wake Nasib Abdul Maarufu kama Diamond ama chibu Dangote kuwaoa wasichana wote ambao inasemekana amezaa nao.

Akiongea hayo jana Alipokuwa anahojiwa na Vijana wa Shilawadu kina Sudi pamoja na kwisa Mzee huyo alisema Kwanza anashukuru kwa Diamond kumpa mtoto huyo jina lake kama babu na akaongezea kuwa yeye haoni shida wala kosa kwa diamond kuzaa na mrembo huyo.

Baba diamond alisisitiza kuwa jamaa ye asiogope ye nimwanaume na dini yake inamruhusu kuoa hata wanawake wanne,Kikubwa tu wote awape malezi bora Huku akipeleka mchicha nahuku apeleke mchicha baba diamond alisema hayo.

No comments:

Post a Comment