BAADA YA ALLY KIBA DIAMOND NAYE KAACHIA VIDEO HII ITAZAME HAPA
Wakali kutoka wcb nao wameamua kukinukisha mitandaoni baada ya ally kiba kuachia kichupa chake jana Diamondi nayeye kaona isiwe tabu pamoja na tim yake nzima wamekusogezea video yao mpya ambayo wameipa jina ZILIPENDWA Itazame hapo juu.
No comments:
Post a Comment