Nahodha wa timu ya taifa ya Ureno ambaye kwasasa anakitwanga Real Marid ametangazwa rasmi kuwa mchezaji bora wa Uefa kati ya mwaka 2016 mpaka 2017.
Shilikisho la soka Balani ulaya jana lilichezesha droo ya makundi ya Uefa mjini Monaco ufaransa na kumtangaza bwana Ronaldo kuwa mchezaji bora.
Akiwa amemshinda mpinzani wake wa jadi MESSI Ronaldo pia amechukua tuzo ya Mshambuliaji bora wa mwaka 2016}2017.
Kumbuka Ronaldo ameifungia tim yake mabao 12 na kutoa assist 6 katika msimu ulio pita.
No comments:
Post a Comment