Saturday, August 19, 2017

RAISI KAGAME WA RWANDA AAPISHWA LEO KENYATA,MKAPA,MSEVEN WAALIKWA.


Raisi wa Rwanda Paul Kagame ameapishwa leo Rasmi mjini kigari nchini rwanda na kukemea sana mataifa ya magaribi kwa kukosoa mifumo yetu na kulazimisha tufate mifumo yao.

Raisi Kagame wa amewaasa viongozi wa Africa kujipigania wenyewe bila kutegemea misaada kutoka nchi za magaribi kama anavyofanya yeye kwa taifa lake.Sherehe hizo zimeuzuriwa na maraisi 19 wa bara hili la Africa.

Uchaguzi huo ulikosolewa na taifa la Marekani kwa kitendo cha bwana kagame kuendelea kukaa madarakani yeye pekeyake

Raisi kagame ataongoza tena nchi ya Rwanda kwa kipindi cha miaka saba.

No comments:

Post a Comment