Vitabu vitakatifu vilisha tabiri mambo kama haya kuwa yatatokea na sasa tunajionea taratibu mambo yakienda yakibadirika kila siku binadamu wamepoteza kabisa utu na kuwa kama wanyama.
Wachina watatu wamekamatwa nchini Kenya wakiwa na nyama za binadamu pamoja na vichwa vya watu hao.Wachina hao baada ya kuhojiwa walidai kuwa waliwadanganya watu hao kuwa wanaenda nao china ili wakawape kazi lakini sivyo wao wamewachukua na kuwachinja kinyama kabisa nakudai walikua na nia yakwenda kuuza nyama hiyo nchini kwao china.
Mkatavi.blogspot tunalaani unyama huo.
BONYEZA MANENO YA BLUE HAPA CHINI KUTIZAMA VIDEO HIYO.
https://youtu.be/WVaaARG9hPg
No comments:
Post a Comment