Wednesday, August 23, 2017

NILISHALIA KWA AJILI YA VANESA LAKINI AMEKATAA KUNISAMEHE.( JUX ).

Mkali wa R,N,B Hapa Bongo Tanzania Juma Jux Amedai kuwa katika uhusiano wake yeye na Vanesa alishadondosha chozi ili kulinusuru penzi lao hilo lakini imeshindikana.

Akiyaongea hayo leo alipokuwa anatambulisha nyimbo yake mpya katika kipindi cha XXL Jux alidai kuwa kunamambo mengi yalitokea ambayo siwezi kuyasema hapa ila nilishajitaidi kumaliza hilo swala lakini imeshindikana.

Jux amefunguka mambo mengi sana bonyeza hiyo link hapo chini ikupeleke moja kwa moja usikilize alichokiongea jux leo hii kwenye xxl clouds fm.

BONYEZA HAPA CHINI
https://youtu.be/fWsVIhm8LrI

No comments:

Post a Comment