Baada Ya kumaliza Bifu kali aliyokuwa nayo Mkali wa R,n,B Hapa Bongo Tanzania Rama Dee Pamoja na kituo Pendwa cha Redio Clouds fm Sasa amerudi kwa kasi ya ajabu na AMekusogezea Video yake kali ambayo inaitwa KWA AKILI YANGU Unaweza kuitazama hapo juu.
No comments:
Post a Comment