Thursday, August 31, 2017

MAJAMBAZI WA KIKE WAKOSA KOSA KUIBA NDANI YA BANK MAREKANI.


FBI Nchini Marekani wanawatafuta Wanawake wawili ambao walikosa kosa kuiba ndani ya Bank moja katika jimbo la Pennsylvania wakiwa wamevalia vazi kama watawa.
lakini hawakufanikiwa kuiba kiasi chochote cha pesa baada ya mfanyakazi mmoja wa bank hiyo kubonyeza alam ya kuashiria hatari nakufanya majambazi hao kukimbia.

No comments:

Post a Comment