Monday, August 21, 2017

KUMBE IDDY AMIN NDULI DADA NDIE ALIYEGUNDUA MAFUTA NCHINI UGANDA MIAKA YA SITINI.



Zikiwa zimepita siku kadhaa toka Raisi wa Tanzania Dr Jonh Pombe Magufuri  pamoja na jirani yake Raisi Yoweri Kaguta Museven Wa Uganda wazindue bomba la mafuta mkoani Tanga imesemekana kuwa mafuta hayo yaligunduliwa miaka mingi tu iliyopita.
Ameyasema hayo Naibu Balozi wa Uganda nchini Tanzania bwana Steven alipokuwa akihojiwa na clouds fm katika kipindi cha Power breakfast nakudai kuwa Mafuta yalionekana uganda miaka mingi iliyopita na aliyeyagundua ni Iddy amin na alichukua beseni na kuyaoga mafuta hayo miaka hiyo ya sabini.

Unaweza kumsikiliza kwa urefu zaidi Naibu balozi Steven wa Uganda akifafanua zaidi mpango huo wa Bomba la mafuta katika video hiyo hapa juu.

No comments:

Post a Comment