Friday, August 25, 2017

TIZAMA ALLY KIBA ALIVYOFUNIKA KWENYE VIDEO YAKE MPYA.

Mkali anayewakilisha kigoma ila kwasasa anawakilisha mitaa ya kariakoo leo ameachia video yake mpya baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu.

Ali kiba ambaye kwasasa yupo nchini marekani ameachia ngoma hiyo masaa matano  yaliyopita lakini mpaka sasa watu zaidi ya efu 64 na mianne wameitazama you tube.

Sasa tunasubiri tuone mpaka kufikia masaa 24 atakua amefikisha watu wangapi kwenye you tube?
Kama bado hujaitizama video hiyo hebu itazame hapo chini na usiache kutoa maoni yoyote.

No comments:

Post a Comment