Tim ya Simba imetoka kifua mbele kati ya mahasimu wake yani wapinzani wake wa jadi Yanga kwa kuwatandika mabao ya penati katika uwanja wa taifa jana Jijini Dar.
Wakali hao wa Msimbazi Wameshinda Mabao 5 kati ya 4 katika penati 6 zilizopigwa
Mchezo huo ulianza kwa vuta nikuvute mpaka dakika 45 za kipindi cha
kwanza mpira ulimalizika bila timu hizo kufungana huku beki wa wekundu
hao, Method Mwamjale akipewa kadi ya njano katika dk 35 ya mchezo baada
ya kuonyesha nidhamu mbaya kwa mwamuzi wa mchezo huo, Elly Sasii.
No comments:
Post a Comment