Mkali kutoka tandale ambaye kwasasa anawakilisha vizuri kitaa cha Madale Bwana Diamond Platnum aka Chibu Dangote Amewajia juu tena Wapinzani wake wa jadi Ally Kiba pamoja na Ommy D.
Baada ya kutoa rmx ya fresh akiwa na fid q diamondi alitoa line mbili tatu ila moja alisema kuwa mlililia kiti sasa nimewapa hadi kitanda nendeni mkalale.Baada ya hapo ALLY Kiba alimjibu akasema ye ni KING Na Atabakia kuwa KING Na akamwambia kuwa umeshatandika kitanda hicho nije nilale Malikia wangu wa nguvu?
Baada ya hapo Mtoto wa kiswahili tandale uko bwana Dangote leo ameamua kuwajibu wote tena wawili nakuandika maneno haya.
Kufanya verse moja tu naona povu linawashuka, kina dada wavaa vi-top na
vibukta/
Hawatoi ngoma kazi twiter kunisuta, kusafiria nyota nawapa pia na jua ruksa/
Wengine vishavu nukata, hips kama tuta, najiuliza ni nani au wameumbwa na hulka/
Wapo pamoja post sina mafuta, msiniletee nuksi huwa silagi vipusa/
Hayo ndio maneno aliyoyaandika Diamond leo je Ally kiba atajibu nini tena ,Tusubiri tuone
No comments:
Post a Comment