Tuesday, August 22, 2017

ROMA USO KWA USO NA MBUNGE ALIYEDAI KAMTUKANA RAISI.

Mkali kutoka Tanga na Anayewakilisha vizuri Lebo yake ya Muziki Tongwe Recods Roma Mkatoriki Amemtolea uvivu Mbunge aliyedai Kamtukana Raisi.

Kupitia ngoma yake kali inayotikisa Kwasasa ZIMBABWE Roma amemjibu Mbunge huyo Kwa kumhoji Kuwa nilini Amemtukana Mjomba Na kwanini amtukane mjomba?

Pia mkali huyo wa Michano Hakusita kumwambia kuwa Yeye amepewa Gari la Wagonjwa lakini Yeye ROMA Anapelekewa Bomba la Mafuta.

Unaweza kuitazama video hiyo ya mbunge huyo na Roma alivyomjibu.

No comments:

Post a Comment