Friday, August 18, 2017
JE? NIKWELI ITAKUA MWISHO WA DUNIA JUMATATU 21 AGOST?
Jumatatu ijayo tar 21 agost linatokea tukio kubwa la jua kupatwa na mwezi ambalo litashuhudiwa na watu zaidi ya milioni saba katika miji mbali mbali ya marekani.
Tukio hilo litatokea amerika ya kaskazini kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1918.Kutokana na tukio hilo bara lote la amerika ya kaskazini litafunikwa na giza mchana.
INGAWA BAADHI YA WATU WANALITAZAMA KAMA NITUKIO LA KUVUTIA Ila kwa wengine hili jambo linahashilia kama ni mwisho wa dunia,Makundi mbalimbali ya kiinjilisti nchini marekani wameanza kuutubia kuwa tukio hilo ni kiashilio kuwa mwisho wadunia umefika.
UNSEALED Ni tovuti moja ya kikristo nchini Marekani limedai kuwa tukio hilo la jumatatu litaanzisha kipindi cha majonzi kwa miaka saba na kwa kipindi hicho asilimia 75 ya binadamu wataangamizwa.
Sasa katika jambo hilo kila mmoja anasema yake wengine wengi wameanza kufurika nchini marekani kushuudia tukio hilo adim duniani,Ila kunawengine wanakesha ibadani wakidai kuwa jumatatu katika tukio hilo itakua mwisho wa dunia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment