Thursday, August 31, 2017

HUU NI UNYAMA SANA.WACHINA WAKUTWA NA NYAMA ZA BINADAMU KENYA.

Vitabu vitakatifu  vilisha tabiri mambo kama haya kuwa yatatokea na sasa tunajionea taratibu mambo yakienda yakibadirika kila siku binadamu wamepoteza kabisa utu na kuwa kama wanyama.

Wachina watatu wamekamatwa nchini Kenya wakiwa na nyama za binadamu pamoja na vichwa vya watu hao.Wachina hao baada ya kuhojiwa walidai kuwa waliwadanganya watu hao kuwa wanaenda nao china ili wakawape kazi lakini sivyo wao wamewachukua na kuwachinja kinyama kabisa nakudai walikua na nia yakwenda kuuza nyama hiyo nchini kwao china.

Mkatavi.blogspot tunalaani unyama huo.

BONYEZA MANENO YA BLUE HAPA CHINI KUTIZAMA VIDEO HIYO.

https://youtu.be/WVaaARG9hPg

MAJAMBAZI WA KIKE WAKOSA KOSA KUIBA NDANI YA BANK MAREKANI.


FBI Nchini Marekani wanawatafuta Wanawake wawili ambao walikosa kosa kuiba ndani ya Bank moja katika jimbo la Pennsylvania wakiwa wamevalia vazi kama watawa.
lakini hawakufanikiwa kuiba kiasi chochote cha pesa baada ya mfanyakazi mmoja wa bank hiyo kubonyeza alam ya kuashiria hatari nakufanya majambazi hao kukimbia.

Wednesday, August 30, 2017

TIZAMA NA SOMA MAGAZETI YOTE YA LEO ALHAMISI HAPA

 UNAWEZA KUBONYEZA LINK HIYO HAPO CHINI UWEZE KUSIKIA MAGAZETI
 YAKISOMWA HAPA

https://youtu.be/WVaaARG9hPg
 BONYEZA HAPA






















UNAWEZA KUBONYEZA LINK HIYO HAPO CHINI UWEZE KUSIKIA MAGAZETI YAKISOMWA HAPA

GODZILLA AMSHAMBULIA NIKKI MBISHI KWA MANENO MAZITO



Mkali kutoka Salasala Bwana Godzilla ametokea kumshambulia Mkali mwenzake wa mitindo huru kutoka TARIME Anayewakilisha Maeneo ya ukonga Nikki Mbishi.
Godzilla amemshambulia nikki nakudai kuwa nikki nimsanii mchanga sana kwake na wala hana hit song,UNAWEZA KUITIZAMA VIDEO HIYO GODZILLA AKIMTEMEA MBOVU NIKKI MBISHI Hapa chini.



Tuesday, August 29, 2017

HILI NDIO FUVU LILILOPATIKANA UWANJA WA TAIFA?

Katika mitandao ya kijamii toka majuzi zilikua zinasambaa habari ambazo sizo rasmi kuwa kutokana na matengenezo yani marekebisho ambayo yanafanywa uwanja wa taifa kuwa limepatikana fuvu la mtu.
Lakini Alex Mkenyenge mkurugenzi msaidizi wa idara ya michezo amepinga uvumi huo nakudai kuwa lile sio fuvu.
Kwanza hiyo ni taarifa ya uongo na hakuna fuvu isipokuwa ni madude ambayo yamepatikana kwenye mchanga baada ya kuwa tumefukua sehemu ya uwanja, kwa hiyo hakuna kitu kinachoitwa fuvu la mtu wala nini ni madude tu yaani mamimea yale yaliyooza basi yanafanana kama magimbi ambapo ndani lilikuwa limeshaliwa”
“Sasa kwa sababu mtu analiona kwa mbali anasema fuvu sasa sijui fuvu litakujaje hapa, kwanza kilichotokea hilo dude limekuja na mchanga wala halikuwa ndani ya uwanja, yaani kwenye mchanga uliyoletwa ambao tulikuwa tunajaza kwenye pitch baada ya kuwa tumeondoa lea ya juu”
Kwa hiyo hakuna kitu kama hicho bahati mbaya kwa watanzania wanapenda kuzungumza vitu vibaya kuliko vizuri, maana mtu haulizi wala kushangaa ile inayosafisha uwanja, sasa kama ni fuvu unataka kusema uwanja wa Taifa kulikuwa na makaburi?”
Nb.Chanzo cha habari na millardayo.com.

NIMEKUSOGEZEA MAGAZETI YOTE YA JUMATANO TAR 30,8,2017 INGIA HAPA