Tuesday, December 13, 2016

TIZAMA VIDEO KANYE WEST AKUTANA NA RAISI MTEULE TRUMP


Mkali wa michano mavazi pamoja na  production Kanye west jana alikutana na raisi mteule wa marekani Baba lao Trum na kuongea mengi ambayo mwanzo haikujulikana ni kipi hasa walikuwa wanajadili.

tizama video hiyo apo chini

No comments:

Post a Comment