Raisi mteule wa Marekani anayetarajiwa kuapishwa hapo januar mwakani amesitisha mpango uliokuwa umepangwa na serikali iliyopita ya ununuzi wa ndege mpya ya AIRFORCE ONE.
Raisi huyo mteule alitumia mtandao wake wa twitter akaandika “Boeing is building a brand new 747 Air Force One for futurepresidents, but costs are out of control, more than $4 billion. Cancel order!.”
No comments:
Post a Comment