Mkali wa Hip hop kutoka hapa bongo na Mheshmiwa mbunge kutoka mbeya mjini JOSEPH MBILINYI Mda mchache uliopita amenusurika kufa baada ya gari yake kufeli brek na kumgonga mtoto.
Sugu alikua na gari yake na gari ikafeli brek na kumgonga mtoto huyo mdogo na kufariki pale pale huku upande mwingine askari polisi wawili nao wamejeruhiwa kwenye ajari wakiwa njiani kuelekea kwenye ajari hiyo maeneo ya iyunga mkoani mbeya.
No comments:
Post a Comment