Tuesday, October 24, 2017

MJAMZITO AFIA GESTI LAKINI MIMBA IMEPOTEA KWENYE MAZINGIRA YA UTATA

Binti mmoja ambaye amefaamika kwa jina moja tu la mwajuma mwenyeji wa tanga amekutwa amefariki ndani ya gesti lakini majirani wanadai binti huyo alikuwa mjamzito lakini marehemu huyo amekutwa hana mimba.

BONYEZA HAPA KUTAZAMA VIDEO HII YAKUSIKITISHA.BONYEZA HAPA.https://www.youtube.com/watch?v=qD8b-4pxy2c

No comments:

Post a Comment