Katika kesi inayoendelea kati ya Marehemu kanumba na Lulu jana madakitari walitoa ushahidi wao jinsi kilichosababisha kifo cha kanumba.Daktari alidai Ubongo wa kanumba uliharibika vibaya na kupelekea kifo chake.
BONYEZA HAPA KUTIZAMA VIDEO HIYO.BONYEZA HAPA.https://www.youtube.com/watch?v=AX-wFKbW3Ps
No comments:
Post a Comment