Tuesday, September 5, 2017

DEREVA AKOSEA NJIA NA KUPAMIA NYUMBA MPAKA NDANI.

Watu wanne wamejeruhiwa na baadhi yawatu kama watatu wapo kwenye hali mbaya baada ya gari moja kuacha njia nakuparamia nyumba mpaka ndani nchini uingereza.

Baada ya gari hilo kuparamia nyumba hiyo lilisababisha moto katika nyumba hiyo.Gari hilo liliingia moja kwamoja mpaka sebleni na kumkuta dada mmoja aliyekuwa kajipumzisha kwenye kochi pamoja nadereva mwenyewe kupata majeraha.

Polisi wamemkamata kijana huyo ambaye alikuwa anaendesha gari hilo nakumpeleka kituoni lakini hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment