Sunday, September 3, 2017

ALLY KIBA AMPAGAWISHA MAMA YAKE MZAZI

Mkali kutoka pande za Kariakoo na anayewakilisha Kigoma Wenyewe wanapenda kumuita King Kiba Wiki hii ameachia wimbo wake mpya ambao umetikisa sana tanzania na dunia kiujumla.

Baada ya ngoma hiyo kutoka alikiba aliweza kuwagusa watu wengi sana wakiwemo viongozi wa Serikali nawasanii wenzake kiujumla Lakini kubwa zaidi nipale Mama yake mzazi Kwa mara ya kwanza ilibidi nayeye aposti picha Akicheza wimbo huo wa mwanae.

BONYEZA HAPA CHNI KUTIZAMA VIDEO HIYO MAMA KIBA AKIYALUDI.: https://youtu.be/7YaEusC5su4

No comments:

Post a Comment