Friday, September 8, 2017

MKATAVI TV INAWAKARIBISHA KWENYE CHANEL YAKE YA YOU TUBE.

Channel Pacha na Blog hii ya Mkatavi.blogspot.com ambayo inapatikana On Line ndani ya You Tube Leo imetoa Rasmi mwaliko wa Kuitembelea moja kwa moja on line ndani ya Youtube.
Mkatavi tv ambayo imeanza wiki hii kurusha vipindi vyake ambavyo kwasasa vipindi ambavyo vipo hewani ni DAMKA NA MAGAZETI. NONDO TANO ZA WIKI Pamoja na ZA HAPA NA PALE.

Chakufanya ni kuingia kwenye channel yako ya YOUTUBE Andika neno MKATAVI TV baada ya kuseach itakuja hivi kama unavyoona hapo chini.
Baada ya kuja hivyo kama unavyoona hap juu Bonyeza hayo Maneno mekundu yaliyoandikwa SUBSCRIBE.Baada yahapo Utakuwa teyari umewezesha Kupata Vipindi vyetu vyote ambavyo tutakua tunaviweka hewani.

Pia tunapatikana katika ukurasa wetu wa INSTAGRAM Kama inavyoonekana hapo chini
Chakufanya  ingia kwenye intagram seach MKATAVI TV itakuja hivyo afu tuffollow utakua unapata update nyingi sana.

TIZAMA VIPINDI AMBAVYO VIMESHAWEKWA HEWANI

MAGAZETI YA LEO.

NODO TANO ZA WIKI.

Thursday, September 7, 2017